Jumamosi, 12 Julai 2014

MATUMAINI GROUP INA KUHAMASISHA JUU YA UPIMAJI WA VVU KWA HIARI

Matumaini group imekua ya kwanza kukuhamasisha wewe mwana jamii juu ya kujua umuhimu wa kutambua afya yako, katika kutoa elimu matumaini group imekua mstari wa mbele kuhakikisha kuwa inakupa elimu itakayo kusaidia katika maisha yako kwa ujumla. Hapa chini ni baadhi ya waelimishaji kutoka Matumaini Group wakielimisha na kuwahamasisha jamii juu ya kupima (VVU) Kwa hiari


0 maoni:

Chapisha Maoni

Share

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More