Alhamisi, 5 Juni 2014

KAZI ZA MATUMAINI GROUP.

MATUMAINI GROUP imejikita katika kazi hizi hapa chini zifuatazo katika jamii ya watu wa tanzania,



KAZI ZA MATUMAINI GROUP:

  • Tunatoa huduma ya wagonjwa majumbani HBC,Ushauri nasaha na huduma shufaa.
  • Tunahudumia watoto yatima
  • Elimu ya afya ya uzazi kwa vijana na kupambana na matumizi ya madawa ya kulevya.
  • Tunapambana na uharibifu wa mazingira.
  • Tunatoa Elimu ya kupambana na maambukizi zidi ya VVU/UKIMWI
  • Tunahamasisha upimaji wa VVU kwa hiari
  • Tunapambana na vitendo vya unyanyasaji na ukatili wa kijinsia kwa watoto na wanawake vinavyosababishwa na wanaume wasio na maadili.
  • Tunatoa elimu ya maswala ya kijinsia
  • Tunatoa warsha za kivuko (stepping stone)kwa vijana na jamii kiujumla. 

0 maoni:

Chapisha Maoni

Share

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More